![]() |
| kwa wateja wetu wa ndani ya Tanzania yetu imara pamoja na wateja wetu wa nje ya Tanzania |
Upatikanaji wa bidhaa tamu ya Korosho kutoka kitangali Tanzania
inategemea na mfalme mteja wetu unavyo hitajika tu
zinapatika kutoka kwetu kitangali aina ya korosho zisizobanguliwa
zinapatikana Korosho nyeupe kutoka kitangali
Tulizo zirosti au tulizo zikaanga na kuzipa ladha ya chumvi au chumvi na pilipiliHizo aina zote za Korosho wasiliana nasi kuzipata katika ujazo wa uzito tofauti
na kwa uwaminifu na haraka tutakufiishia ulipo
KWA MAWASILIANO
- +255717096270
- 0787006213
- vijimikasa1@gmail.com

.jpeg)

.jpeg)

.jpeg)
