Jumamosi

KARIBUNI KOROSHO ZA KITANGALI



kwa wateja wetu wa ndani ya Tanzania yetu imara 
pamoja na wateja wetu wa nje ya Tanzania 


 

Upatikanaji wa bidhaa tamu ya Korosho kutoka kitangali Tanzania 

inategemea na mfalme mteja wetu unavyo hitajika tu


zinapatika kutoka kwetu kitangali aina ya korosho zisizobanguliwa




zinapatikana Korosho nyeupe kutoka kitangali 

Tulizo zirosti au tulizo zikaanga na kuzipa ladha ya chumvi au chumvi na pilipili 


Hizo aina zote za Korosho wasiliana nasi kuzipata katika ujazo wa uzito tofauti

na kwa uwaminifu na haraka tutakufiishia ulipo


KWA MAWASILIANO

  • +255717096270
  • 0787006213
  • vijimikasa1@gmail.com

Maoni 3 :